JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2024

Makamba : Dunia inahitaji mfumo mpya ya maamuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb), ameieleza Jumuiya ya Kimataifa kuhusu umuhimu wa kuwa na mifumo mipya ya kimataifa itakayo zingatia haki na usawa katika kufanya maamuzi hasa kwa Mataifa ya Afrika….

Mafanikio ya Tanzania kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi yaivutia Nigeria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mafanikio katika sekta ya afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt….

Mazungumzo ya Rais Samia, Papa yana tija

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hadithi ya maendeleo ya taifa letu haiwezi kukwepa kuzungumzia ushirikiano wa taasisi za dini, hususan Kanisa Katoliki. Tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1964, Kanisa Katoliki limefanya mambo mengi katika kuchagiza maendeleo ya wananchi.Katika…

Chama Cha Mapinduzi kimeshika hatamu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, London Katika kusherekea miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni bora kuwakumbusha Watanzania kuwa CCM imeshika hatamu za nchi. Kwa kutumia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa…

TMA yatoa mwelekeo mvua za masika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za Masika 2024 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 22, 2024…