JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

DC Nyasa : Usimamizi mbovu umechangia Halmashauri Nyasa kushindwa kufikia malengo

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Peres Magiri amesema kuwa ,usimamizi mbovu wa vyanzo vya mapato kutoka kwa baadhi ya wataalam na watendaji wa vijiji na kata umesababisha Halmashauri hiyo kushindwa kufikia malengo ya…

TMA yasisitiza umuhimu matumizi ya huduma za hali ya hewa kwa wadau wa ununuzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya huduma za hali ya hewa pamoja na kuchangia gharama za upatikanaji wa huduma hizo katika utekelezaji wa…

Wanaume kutoka jamii ya Kimasai watetea maslahi ya wanawake

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Kwa miongo kadhaa wanawake kutoka jamii za pembezoni ikiwemo ya kimaasai wamekuwa hawapewi kipaumbele kwenye masuala mengi kama elimu, uongozi na kiuchumi. Kutokana na changamoto hizo, serikali kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ya…

DCEA yasihi watu wa forodha kuongeza umakini kwenye ukaguzi bidhaa

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewasihi watumishi wa forodha kuzifanyia ukaguzi wa kina bidhaa zinazoingizwa na kutoka nchini, ikidaiwa wahalifu wa dawa za kulevya huzitumia kuvusha skanka; JAMHURI…

Shirikisho la Umoja wa Machinga nchini kufanya mabadiliko ya katiba

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia -Dar es Salaam Shirikisho la Umoja wa Wamachinga Tanzania (SHIUMA) limenuia kufanya mabadiliko ya Katiba katika mikoa yote nchini ili kuweza kuondoa mapungufu mengi yaliyomo kwani imesababisha baadhi ya Vyama vya Wamachinga kushindwa kujiunga na Shirikisho…

Wizara ya Fedha yakemea nyonya damu, Watanzania watakiwa kulinda fedha zao

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WIZARA ya fedha imetoa rai kwa Watanzania hususan makundi ya akinamama na wajasiriamali kujiepusha na mikopo ya udhalilishaji isiyo rasmi na badala yake watumie Taasisi zilizosajiliwa na kutambulika ili kulinda fedha zao. Aidha imekemea Taasisi…