JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Jukumu letu kuzingatia sheria katika kutoa na kupokea huduma – Simbachawane

 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Kibakwe, Mhe. George Simbachawene amewataka viongozi na wananchi kuzingatia Sheria za nchi katika kutoa na kupokea huduma. Simbachawene ametoa kauli…

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Mkunda apokea ujumbe wa Jeshi la China

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujumbe wa Makamanda walioongozana na meli ya matibabu kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ofisini kwake Upanga jijini Dar Es Salaam…

Wanasayansi wagundua pango la makazi mwezini

Kwa mara ya kwanza wanasayansi wamegundua pango la makazi mwezini. Pango hilo lenye kina cha mita 100, linaweza kuwa mahali pazuri kwa wanadamu kujenga makazi ya kudumu. “Ni moja tu kati ya mamia ya mapango yaliyofichwa katika ulimwengu wa chini…

Auawa katika maandamano ya kumtaka rais wa Kenya kuondoka madarakani

Waandamanaji wanaoipinga Serikali nchini Kenya walirejea barabarani wakiongeza madai ya kumtaka Rais William Ruto ajiuzulu licha ya mabadiliko yake ya hivi majuzi. Mwanamume mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa makabiliano kati ya waandamanaji na vikosi vya usalama viungani mwa…

Mahakama yaamuru Hersi na wenzake wang’oke Yanga

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa klabu ya Yanga ukiongozwa na Rais wake, Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye klabu hiyo kwakuwa Katiba…