Year: 2024
Kesi ya wanandoa kujeruhi jirani yapigwa kalenda tena
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHAHIDI wa upande wa mashitaka Kiran Lalit Ratilal, ameshindwa kutoa ushahidi katika kesi ya kujeruhi inayowaabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54), kwa sababu wakili wa utetezi katika kesi hiyo yupo…
Chuo kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato – Waziri Mkuu
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Chato WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa ujenzi wa tawi la Chuo kikuu cha UDSM kitivo cha slSayansi ya Uvuvi (Institute of Marine Science) kinaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kasagara…
Bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga katika hospitali 100 nchini
Na WAF-Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kutumia shilingi bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga kwenye hospitali 100 nchini kwa kujenga wodi maalum (NCU) za Watoto wachanga, Watoto njiti na ununuzi na usambazaji wa vifaa tiba ikiwemo mashine…
Maji rasilimali adimu duniani inayohitaji ulinzi – RC Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema maji ni raslimali adimu Duniani inayohitaji ulinzi kama zilivyo raslimali nyingine zilizopo kwenye matishio Kanali Abbas amesema hayo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.wakati anafunga…