Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha kumbukumbu alipowasili Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga Jijini Seoul Jamhuri ya Korea kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) tarehe 03 Juni 2024. Kulia ni Rais wa Chuo hicho Bw. Hee Young Hurr
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo ya pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga Jijini Seoul Jamhuri ya Korea alipowasili Chuoni hapo kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) tarehe 03 Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea Hee Young Hurr wakishiriki kupanda Mti mbele ya Jengo la Utawala la Chuo hicho wakati Mhe. Rais Samia alipowasili kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Cousa) tarehe 03 Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea Dkt. Hee Young Hurr mara baada ya kushiriki kupanda Mti mbele ya Jengo la Utawala la Chuo hicho wakati Rais Samia alipowasili kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) tarehe 03 Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Mti alioshiriki kuupanda mbele ya Jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea. Wa pili kushoto ni Rais wa Chuo hicho Dkt. Hee Young Hurr, tarehe 03 Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea Dkt. Hee Young Hurr wakati wakielekea kwenye ukumbi kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho mara baada ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea wakiimba Wimbo wa Taifa wa Korea na Tanzania kwenye Hafla ya kutunuku Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) kwa Rais Samia Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.
Viongozi na Wanafunzi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea wakiwa katika Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) kwa Rais Samia Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.
Baadhi ya aina ya Ndege tofauti zinazotumika kwa ajili ya Mafunzo ya Vitendo katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.