JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

GA yawezesha usanifu wa e-Board Ilemela

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Mwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Ummy Mohammed Wayayu amesema matumizi ya Mfumo wa kuwezesha uratibu wa shughuli za uandaaji wa vikao mbalimbali vya bodi na menejimenti katika Halmashauri na Taasisi za Umma(e-Board) umerahisisha…

Misaada yawafikia wanawake waliojifungua kambi za wahanga wa mafuriko Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa…

Ofisi ya mbunge imetoa mil.4 6 kwa vikundi vya wanawake kukopeshana- Ridhiwanni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Kwa mujibu wa Taarifa za Sensa, ongezeko la idadi ya wanawake wanaotegemewa ndani ya familia imeongezeka kufikia asilimia 37.6, idadi ambayo inatoa fursa za kuwezesha wanawake katika jamii. Kutokana na hilo Serikali imeendelea kufanya jitihada…

Ridhiwani -Wanafunzi someni kwa bidii, elimu ni ufunguo wa maisha

Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Chalinze Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi na vijana kuacha matumizi mabaya ya mitandao, mambo yaliyo nje ya tamaduni za kitanzania na badala…

Kalleiya ahimiza kuunda kamati za uchuni kata,matawi kujiimarisha kiuchumi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katibu wa CCM Wilaya Kibaha Mjini , mkoani Pwani, Issack Kalleiya amehimiza kuunda kamati za uchumi kila kata na matawi pamoja na kuanzisha vitenga uchumi ili kukiimarisha kiuchumi. Wito huo aliutoa alipokuwa kata ya Kongowe…

Mashirika mchwa, 17 yatumia bilioni 72.36 kwa matumizi yasiyo na tija

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amezidi kuripoti madudu yaleyale yanayotokea katika mashirika ya umma. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023, Kichere,…