JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azindua maonesho ya miaka 60 ya Muungano Dar

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es salaam Katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanikiwa kusimamia utekelezaji wa masuala ya Muungano kwa ufanisi mkubwa kwa kuimarika kwa…

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewaonya watu wanaojenga miradi bila kupata Cheti cha Tathmini ya Mazingira EIA kwenye baraza hilo kwamba wanakabiliwa na faini ya shilingi milioni 10….

JWTZ latoa magari kumi Rufiji kurahisisha usafiri

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetoa magari kumi kwa ajili ya kusaidia kusafirisha vyakula kwenda kwenye makambi ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye Wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwani. Akipokea magari hayo April…

Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo kutokana na kifo cha mkuu wa majeshi

Rais William Ruto ametangaza kifo cha Ogolla pamoja na maafisa wengine 9 wa jeshi huku wawili wakinusuruka. Akitangaza kifo cha Jenerali Ogolla rais Ruto amesema kutakuwa na siku tatu za maombolezo kuanzia Ijumaa tarehe 19 Aprili ambapo bendera zitapeperushwa nusu…