JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mkuu wa Majeshi Kenya afariki dunia katika ajali ya helikopta

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Kenya Francis Ogolla amefariki. Rais William Ruto ametangaza kifo cha Ogolla pamoja na maafisa wengine tisa wa jeshi huku wawili wakinusuruka. Ogolla alifariki baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria pamoja na maafisa wengine kuanguka Kaben,…

Asasi ya AGENDA yalia na matumizi ya plastiki na athari za kimazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza suala hilo Juni Mosi, mwaka 2019 Tanzania ilitangaza marufuku ya kutengeneza, kusambaza, kutumia…

Kinana: Serikali inafuatilia kwa makini uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali kwa ujumla inafuatilia kwa makini uharibifu mkubwa wa miundombinu unaosababishwa na mvua zinazoendelea kunyeesha nchini. Amesema kuwa katika maeneo ambayo yameathirika sana, Serikali imepeleka…

Madaktari Sekoutoure wafanikisha kutoa jiwe la gramu 800 kwenye kibofu

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Mwanza Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha mkojo kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 48. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hospitalini hapo…

Waziri Jafo atoa maelekezo kwa maofisa halmashauri, NEMC kusimamia sheria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaelekeza maafisa mazingira katika halmashauri zote kusimamia utekelezaji wa sheria ya mazingira katika maeneo yao. Ametoa maelekezo hayo wakati wa kikao…