๐๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฅ๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ก๐๐ฃ๐ช, l๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐ ku๐๐ช๐ข๐๐จ๐๐ a๐ข๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐ ๐ln๐๐๐ ๐ฎ๐๐ฉ๐ช.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป amewasihi Vijana kutokubali kushikiwa akili na kushawishiwa katika kuichoma na kuiharibu nchi yao wao wenyewe kutokana na ushawishi wa watu wachache wenye kutanguliza maslahi yao binafsi na kutokuwa na uzalendo wa kweli kwa Taifa lao.
Akihutubia Bunge katika kulifungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la 13, leo tarehe 14 Novemba 2025 Jijini Dodoma, Rais Dkt. Samia ameyasema haya;
โPamoja na kuwa uchaguzi ulifanyika, kulijitokeza vurugu za uvunjifu wa amani ambao ulisababisha uharibifu wa mali, kupoteza maisha na kuhatarisha usalama wa Nchi”
“..tunapoenda mbele niwasihi sana Watanzania tuongozwe na dhamira ya maelewano, ushirikishwaji, kujirekebisha na umojaโ
โKwa Wanangu Vijana wa Taifa hili la Tanzania niseme kwamba nchi hii imejengwa kwenye misingi ya amani na utulivu wakisiasa, sisi Wazazi wenu kama tungeyafanya mliyoyafanya wakati huu Nchi hii isingekuwa na neema na maendeleo mnayoyaona leoโ
โNarudia hilo, kwa Wanangu Vijana wa Tanzania, sisi Wazazi wenu kama tungeyafanya mliyoyafanya nchi hii isingekuwa na neema na maendeleo mnayoyaona leo”
“..hivyo niwasihi sana Wanangu Vijana wa Taifa hili, nchi hii ni yenu kwa shida zozote zile zinazowakabili, msikubali hata siku moja kushawishishiwa kuichoma nchi yenu wenyeweโ
โMsikubali kukata tawi la nchi mliyoikalia msikubali kabisa, hili nawaomba mlikate kwa nguvu zenu zote , nyie ndio Wajenzi wa Taifa hili nawasihi kamwe msiwe Wabomoaji wa Taifa hiliโ





