Dk Mwigulu ateta na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
JamhuriComments Off on Dk Mwigulu ateta na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.