Tanzania yathibitisha dhamira yake ya kuimarisha uaminifu na miundo dhabiti
JamhuriComments Off on Tanzania yathibitisha dhamira yake ya kuimarisha uaminifu na miundo dhabiti
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Taifa ya Vyombo vya Habari Abdulla bin Mohammed bin Butti Al Hamed pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 4 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).