Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akiambatana na Spika wa Bunge la Serbia, Mhe. Ana Brnabic, leo tareheĀ  10 Februari, 2026 wakati alipowasili katika Bunge la Serbia Jijini Belgrade. Mazungumzo yao yamelenga kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Serbia, hususan ushirikiano wa Kibunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungwa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akisalimiana na Spika wa Bunge la Serbia, Mhe. Ana Brnabic, leo tareheĀ  10 Februari, 2026 wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge la Serbia Jijini Belgrade. Mazungumzo yao yamelenga kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Serbia, hususan ushirikiano wa Kibunge.