Rais Samia azungumza na mkuu wa WHO Kanda ya Afrika Prof. Janabi
JamhuriComments Off on Rais Samia azungumza na mkuu wa WHO Kanda ya Afrika Prof. Janabi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Profesa Mohamed Janabi, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaa.