Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, nyumbani kwa marehemu Area D jijini Dodoma, Machi 26, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimfariji, Germina Lukuvi (wa tatu kushoto), mjane wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi alipokwenda nyumbani kwa marehemu Area D jijini Dodoma kuhani, Machi 26, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimfariji, Germina Lukuvi, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi alipokwenda nyumbani kwa marehemu Area D jijini Dodoma kuhani, Machi 26, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, Naibu Spika Daniel Sillo (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, wakati alikokwenda kuhani msiba nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi, Area D jijini Dodoma, Machi 26, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwafariji watoto wa aliyekua Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, Mossy Lukuvi (wa pili kulia na Brown Lukuvi (kulia) nyumbani kwa marehemu Area D jijini Dodoma alipokwenda kuhani, Machi 26, 2026. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)