Rais Samia akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa minara 758 Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa minara 758 Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Mawasiliano katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kabla ya Uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano Serikalini, tarehe 10 Aprili, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano Serikalini kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.