Chini ya Kapeti, Meneja wa Chelsea Antonio Conte Kuondoka Chelsea
JamhuriComments Off on Chini ya Kapeti, Meneja wa Chelsea Antonio Conte Kuondoka Chelsea
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuondoka Chelsea kwa saa 48 zijazo na nafasi yake huwenda ikachukuliwa na Meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique.