Rais Dk Samia awaapisha viongozi mbalimbali, Ikulu Dar es Salaam
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia awaapisha viongozi mbalimbali, Ikulu Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Elias Magembe akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Ndugu Charles Ngeleja Kandonya pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Ndugu Nolasco Jacob, wakiapa Kiapo cha Maadili, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nolasco Jacob Kipanda kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Charles Ngeleja Kandonya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nolasco Jacob Kipanda kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Elias Magembe akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Ndugu Charles Ngeleja Kandonya pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Ndugu Nolasco Jacob, wakiapa Kiapo cha Maadili, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi kwenye picha na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Elias Magembe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Ndugu Charles Ngeleja Kandonya, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Ndugu Nolasco Jacob, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Julai, 2026.