Rais Dk Samia atembelea chanzo cha Maji Machomwe, aweka jiwe la msingi Skuli ya Amali Kizimkazi
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia atembelea chanzo cha Maji Machomwe, aweka jiwe la msingi Skuli ya Amali Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mradi wa Maji Kizimkazi katika moja ya matukio kuelekea kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 13 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Amali Kizimkazi katika moja ya matukio kuelekea kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 13 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kizimkazi baada ya kuzindua Mradi wa Maji Kizimkazi katika moja ya matukio kuelekea kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 13 Agosti, 2026.