Dkt. Samia akutana na kuzungumza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji
JamhuriComments Off on Dkt. Samia akutana na kuzungumza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) Bi. Amy E. Pope, tarehe 17 Agosti,2026 Ikulu Ndogo, Zanzibar. : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) Bi. Amy E. Pope, tarehe 17 Agosti,2026 Ikulu Ndogo, Zanzibar.