Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kamati ya Pamoja ya Majadiliano ya CCM na ACT Wazalendo, akisisitiza kuendeleza maridhiano, amani, umoja na utulivu wa kisiasa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mstaafu na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Mhe. Othman Masoud Othman, baada ya hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano ya CCM na ACT Wazalendo.