Waziri Mkuu kufungua mkutano wa sita wa kimataifa wa ubora wa elimu
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu kufungua mkutano wa sita wa kimataifa wa ubora wa elimu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 12, 2026, amewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, ambapo anatarajiwa kufungua Mkutano wa Sita wa Kimataifa kuhusu Ubora wa Elimu (IQEC).