Habari MpyaJafo afungua mkutano Baraza la Mawaziri wa Bonde la Mto Nile Jamhuri2 years ago2 years ago01 mins washiriki mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile, unaofanyika Leo Agosti 19, 2022, Jijini Dar es Salaam Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile, unaofanyika Leo Agosti 19, 2022, Jijini Dar es Salaam, kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi wa Mkutano huo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo, akiwa pamoja na viongozi wengine Katika mkutano huo. Post Views: 11 Post navigation Previous: Mawaziri nane wajadili utatuzi wa migogoro ya ardhi vijiji 975Next: Behewa mpya zaidi ya 20 kuwasili nchini Septemba
Tanzania yasaini mkataba wa ushirikiano na Hungary kwenye sekta ya maji Jamhuri5 hours ago5 hours ago 0