Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata ya Ukonga katika Jimbo la Ukonga wakikagua ujenzi wa barabara itokayo Mombasa hadi kwa Mahita yenye urefu wa mita 600 inayojengwa kwa kiwango cha lami na TARURA jijini Dar es Salaam.Mpigapicha Wetu Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa (kulia) na diwani wa Ukonga Bendera Ramadhani (katikati) wakikagua ujenzi wa barabara unaoendelea kutoka Mombasa kuelekea kwa Mhita. Post Views: 120 Post navigation Programu ya SAUTI kuleta mabadiliko sekta ya mifugo nchini Halotel yaongoza kwa intaneti yenye spidi nchini