Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata ya Ukonga katika Jimbo la Ukonga wakikagua ujenzi wa barabara itokayo Mombasa hadi kwa Mahita yenye urefu wa mita 600 inayojengwa kwa kiwango cha lami na TARURA jijini Dar es Salaam.Mpigapicha Wetu
Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa (kulia) na diwani wa Ukonga Bendera Ramadhani (katikati) wakikagua ujenzi wa barabara unaoendelea kutoka Mombasa kuelekea kwa Mhita.
Please follow and like us:
Pin Share