Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Uswizi Mhe. Alain Berset katika ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifafanua fursa mbalimbali za Uwekezaji zinazopatikana nchini kwenye mkutano wa kuitangaza Tanzania uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na Wawekezaji wakati wakitazama video ya kuitangaza Tanzania katika Sekta mbalimbali za Uwekezaji kwenye mkutano uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

By Jamhuri