Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 6, 2023
Habari Mpya
Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia, Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kupokea Ujumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Post Views:
190
Previous Post
Serikali kupitia MSD yakabidhi vifaa tiba vya mil.900/- Ifakara
Next Post
Mkuu wa operesheni Kikosi cha Usalama Barabarani atoa tahadhari wa madereva pikipiki Pwani
Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120
Madiwani Malinyi washauriwa kuwa mfano ya kutoa hamasa wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani
Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Habari mpya
Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120
Madiwani Malinyi washauriwa kuwa mfano ya kutoa hamasa wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani
Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria