Rais Dk Samia aagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Chapo
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia aagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Chapo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.