Rais Samia aongoza Watanzania maziko ya Cleopa Msuya
JamhuriComments Off on Rais Samia aongoza Watanzania maziko ya Cleopa Msuya
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro leo Mei 13. (Picha na Ikulu)