Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.