Matukio mbalimbali ya Rais Dk Samia wakati akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na kuchambua pamba
JamhuriComments Off on Matukio mbalimbali ya Rais Dk Samia wakati akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na kuchambua pamba
Magari yakiwa yamepakia marobota ya pamba tayari kwa uchakataji katika kiwanda cha kuchakata pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.Muonekano wa mitambo wa kutengeneza mabomba ya maji pamoja na ule wa kuchataka pamba katika kiwanda MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.