Rais Samia afungua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
JamhuriComments Off on Rais Samia afungua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.