Rais Dk Samia akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora Mwanza
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.