Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.