Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha

MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Pwani Tatu Kondo amechukua fomu ya Udiwani Vitimaalum Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tatu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Kibaha Mjini Cecilia Ndalu .

Kati ya waliochukua fomu kuomba kuteuliwa nafasi ya Udiwani Vitimaalumu mpaka Juni 29 ni mmoja pekee hadi sasa kutoka kundi la wenye Ulemavu.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo Tatu amesema wenye Ulemavu wanauwezo wa kuwatumikia wananchi kama walivyo wengine mambo ambalo limemsukuma kuchukua fomu hiyo.

Mwisho