Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza.
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. “Jamhuri ya Tanzania” wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya Habari na Utalii Tanzania ilitambua mchango.
