JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

15 mbaroni kwa tuhuma za mauaji Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, Jamuhuri,Songea JESHI la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za mauaji ya Watu watano na wengine watatu kujeruhiwa katika tukio la mapigano ya wakulima na Jamii ya wafugaji. Watuhumiwa waliokamatwa majina yao yamehifadhiwa ambao wanaendelea…

Majaliwa awasili viwanja vya shule Ushirombo kusherehekea Siku ya Mwalimu Bukombe

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule ya sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe. Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu – Bukombe amewasili katika…

Othman Masoud: Wazee wana wajibu kubeba mabadiliko ya Zanzibar

Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka wazee wa Zanzibar kutambua wajibu wao wa kihistoria wa kusimama mstari wa mbele katika mapambano ya kuleta mabadiliko kupitia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Akizungumza katika mkutano wa ndani na wazee…

Mapokezi ya Othman Masoud Unguja na Pemba ishara ya Rais mpya ajae

Katika siku za hivi karibuni, Zanzibar imeshuhudia hamasa kubwa ya wananchi katika mikutano ya hadhara inayoongozwa na Othman Masoud. Kutoka mitaa ya Mjini Unguja hadi vijiji vya mbali kisiwani Pemba, maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi, wakijazana viwanjani kusikiliza ujumbe…

Karatu imeridhia Dk Samia wamempokea kwa kuweka historia mpya

Maelfu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha wamempokea kwa kishindo cha nguvu Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 leo tarehe 3 Oktoba 2025…

Fredrick Lowassa: Wana Arusha mchagueni Dk Samia anajua mahitaji yenu na ana uwezo wa kuyatatua

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa, amesema kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu wananchi wanapaswa kuchagua mgombea anayejua mahitaji yao na mwenye uwezo wa kuyatatua. Ameyasema hayo Oktoba 3, 2025, katika muendelezo wa kampeni za Mgombea Urais wa…