JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Israel yaanzisha mashambulizi maeneo ya Wahouthi huko Yemen

Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo,…

Israel yafanya mashambulizi ya anga katika bandari Yemen

Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo mengine yanayoshikiliwa na waasi wa Huthi. Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo…

Ado Shaibu amvaa wakili Mwambukusi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniphace Mwabukusi kupinga jitihada za ACT Wazalendo kuhamasisha wananchi kulinda kura ina udhaifu wa kimantiki. Ndugu Ado Shaibu ametoa…

TASAC yasisitiza usalama wa usafiri majini kama msingi wa kukuza uchumi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeeleza kuwa usalama wa usafiri wa majini ni kichocheo muhimu cha maendeleo ya kiuchumi, huku likiahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kulinda na…

GCLA yatoa elimu ya usalama wa Kemikali na afya Sabasaba, yakaribisha wanafunzi kujifunza Sayansi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imetoa wito kwa wananchi, wajasiriamali na wanafunzi kutembelea banda lao katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (DITF – Sabasaba) ili kujifunza kuhusu…