Author: Jamhuri
Rais Mwinyi akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa kuunga mkono juhudi za Zanzibar katika kuboresha miundombinu ambapo hivi karibuni Taasisi ya UK Export Finance ya Uingereza imetoa dhamana kwa ajili ya…
Majaliwa : Mapato ya bandari yafikia trilioni moja kwa mwezi
*Ongezeko hilo limechangiwa na uwekezaji uliofanyika katika gati namba 0-7 * Asema pato halisi la Taifa limekuwa kwa wastani wa asilimia 5.5 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema mapato ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari kwa mwezi yameongezeka kutoka wastani wa…
Tanzania yashiriki mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri nchi zinazozalisha almasi
Freetown- Sierra Leone Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa Aprili 8, 2025 ulishiriki Jukwaa Maalum la Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Nchi zinazozalisha Madini ya Almasi Barani Afrika (The African Diamond…
Makamu wa Rais afanya mazugumzo na Balozi Matinyi, Balozi Hamad
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha (Diaspora) ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kupitia uwekezaji mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokutana na kufanya…
Tanzania, Uingereza zajadili mpango wa kuongeza thamani madini muhimu mkakati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania na Uingereza Aprili 8, 2025 zilikutana na kujadili kwa pamoja Taarifa ya Uchambuzi wa Kina iliyoonesha fursa za kuongeza thamani madini za muda Mfupi na wa Kati wa Madini Muhimu na Mkakati…