JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

37 wafariki mkanyagano usajili wa wanajeshi Congo

Takribani watu 37 wamefariki katika mkanyagano wakati wa harakati za kuwasajili wanajeshi katika uwanja wa michezo nchini Congo, serikali imesema. Baadhi ya watu walijaribu kupita kwa nguvu kupitia lango la uwanja wa michezo katika mji mkuu, Brazzaville, na kusababisha mkanyagano….

Serikali yamwaga vifaa tiba vya milioni 222.472/- Singida

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi vifaa tiba Mkoa wa Singida vyenye jumla ya takribani Sh.Milioni 222.472. Vifaa hivyo ni pamoja na majenereta,…

Miroshi awaangukia Watanzania

MSIMAMO wa kundi E lenye timu sita, timu nne zina pointi 3 ikiwemo Tanzania, licha ya kuwa mbele kwa mchezo mmoja dhidi ya Morocco na DR Congo ambao hawana alama yoyote.Baada ya kupoteza leo mabao 2-0 dhidi ya Morocco, Tanzania…

Chongolo : Walipeni madeni, wahisheni malipo ya wakandarasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Godfrey Chongolo amesema kupitia utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya 2020 – 2025, CCM itahakikisha Serikali inaendelea kuweka mazingira bora na kuwajengea uwezo makandarasi na washauri waelekezi…

Rais Samia atoa bil.56- ya miradi ya maji Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu imetoa shilingi Bilioni 56 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji mijini na vijijini mkoani Manyara ambapo miradi…