JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi Iringa watakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa matumizi endelevu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi mkoani Iringa wamehimizwa kuilinda na kuitunza vema miundombinu ya barabara ili iwe endelevu na wanufaike nazo kwa muda mrefu kwa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa TARURA mkoa…

SMZ kushirikiana na GEL kupeleka wanafunzi nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji na kuipongeza Global Education Link GEL kwa mchango mkubwa inaotoa kwenye sekta…

CTI na wanachama wajadili utitiri wa tozo

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, shule Kuu ya Biashara (UDBS), Patrolik Kanje, ameshauri utitiri wa tozo za mamlaka ya udhibiti zipunguzwe ili kuwapunguzia mzigo wazalishaji wa bidhaa nchini. Alitoa ushauri…

Tanzania yaongoza kikao cha wataalamu Afrika kuhusu nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeongoza kikao cha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kujadili kuhusu vipaumbele vya sera katika masuala ya nishati safi ya kupikia ili kuja na azimio litakalopitishwa na wakuu wa nchi husika barani humo. Kikao hicho kimefanyika…