JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia azindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi kuhakikisha zinazingatia matakwa ya sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi. Rais Samia amesema hayo leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume…

Rais Samia aiagiza PDPC kusajili taasisi zote kabla ya Desemba

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kuhakikisha inasajili taasisi zote za umma na binafsi kabla ya Desemba mwaka huu. Aidha Rais…

Utupaji mpya wa takataka jijini Dodoma,uongozi watoa kauli

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limedhamiria kushirikiana kwa ukaribu na watu wa usalama barabarani, polisi jamii,wasimamizi wa mandhari na watu wa sheria ndogo ndogo za uhifadhi katika kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira unaotokana na utupaji…

Sheria ya bima ya afya kwa wote kuanza kutumika kabla ya mwisho wa Aprili 2024

Na. WAF, DodomaNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne Mwaka 2024 kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo leo kwenye Bunge…

Mchengerwa atoa mil.40 kusaidia wananchi waliokumbwa na mafuriko Rufiji

Na Projestus Binamungu, JamhuriMedia, Rufiji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji mkoani Pwani Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametoa Sh.milioni 40 kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa…