JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamanda 1267 waendelea kutafuta miili Hanan’g, misaada yote kuelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu

Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Hanan’g Jumla ya makamanda wapatao 1267 wanaendelea na shughuli mbalimbali katika eneo la wahanga wa maporomoko ya udongo yaliyotokea Novemba 3,2023 huko wilayani Hanang, ambapo kufuatia zoezi linaloendelea wamefanikiwa kuipata miili mingine miwili na kuweka jumla ya…

Katibu Mkuu Uchukuzi aagiza TMA itangaze mafanikio kikanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius. W. Kahyarara ametembelea banda la maonesho la TMA katika Mkutano wa 16 wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini (16th JTSR) unaofanyika jijini Arusha, na kuagiza…

Waziri ashuhudia kazi ya kuzoa tope ikianza, atembelea majeruhi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati hadi Singida. Akizungumza na mamia ya wakazi wa mji huo,…

Hospitali Tumbi ina uhitaji wa damu lita 200, tukachangie kuokoa maisha ya wenye uhitaji -Gemela

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KITENGO cha damu salama Tumbi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, inatumia chupa 15 kwa siku sawa na chupa 450 za damu kwa mwezi ,hivyo uhitaji wa lita 200 ili kukidhi mahitaji. Kuelekea siku…