JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Huduma za kibingwa za magonjwa ya moyo Kisarawe suluhisho la matibabu Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Abdallah Shaib,amezindua huduma za kibingwa za moyo katika hospital ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo wakati Mwenge wa Uhuru ulipopita kujionea wilaya ilivyosimamia…

CBE yaanza ujenzi wa maabara ya kimataifa kufundisha kwa vitendo

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wazazi nchini kuwahamasisha watoto wao kuchangamkia mafunzo ya sayansi ya vipimo na viwango kwani soko la ajira liko wazi kwa nchi za Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa jana chuoni hapo na…

TTCL kupaisha Tanzania kimataifa kupitia utalii wa mawasiliano

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kuelekea bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kwa mwaka 2023/2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),…

Rais Samia atoa salamu za rambirambi ajali ya ndege Moro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Adam Kighoma Malima kutokana na vifo vya watu wawili katika ajali ya ndege. Ajali hiyo imetokea katika kiwanja cha ndege cha Matambwe…

Kinana akutana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalist ya Vietnam

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana ameongoza Ujumbe wa CCM kwenye mazungumzo na Vo Van Thuong, Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Jijini Ha Noi, Viet Nam. Katika mazungumzo hayo, Kinana aliwasilisha ujumbe maalum kutoka…

Bunge limeidhinisha bajeti ya bilioni 74.2 kuimarisha huduma za maendeleo ya jamii

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya shilingi Billioni 74.2 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu itakayosaidia kuratibu afua za kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake…