Author: Jamhuri
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, ashindwa rufa yake
Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa, imeshikilia kifungo cha miaka mitatu jela, dhidi ya rais wa zamani Nicolas Sarkozy kwa kosa la ufisadi na kushawishi kupewa taarifa kuhusu uchunguzi dhidi yake. Katika uamuzi wa mahakama hiyo ya rufa jijini Paris, kiongozi…
Serikali: Hakuna changamoto mpya za Muungano
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema kuwa hadi sasa hakuna changamoto mpya za Muungano zilizojitokeza. Amesema hayo leo Mei 17, 2023 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti…
Chalamila afanya ziara ya kushtukiza kwa wafanyabiashara Mwenge
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Mwenge ili kujionea hali halisi ya kinachozungumzwa na kulalamikiwa na wafanyabiashara. Ziara ni ya kwanza baada ya kuhamishwa kituo cha kazi na Rais Dkt.Samia…
Majaliwa amwakilisha Rais Samia ibada ya mazishi ya Membe Rondo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe iliyofanyika kijijini kwake Rondo, Chiponda Mkoani Lindi. Akizungumza na waombolezaji katika ibada hiyo Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt….
Kafulila:Msingi wa PPP ni kuondoa migogoro kati ya Serikali na sekta binafsi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar KAMISHNA wa Idara ya Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema sababu ya kuundwa kwa taasisi hiyo ulitokana na kuwepo kwa mikataba mibovu kati ya Serikali na sekta binafsi….