JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Msigwa: Ripoti ya CAG ni nyenzo inayotumiwa na Serikali

Serikali imesema kuwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inatumika kama Nyenzo kwa serikali ili kuhakikisha yale mapungufu yote yaliyobainika yanafanyiwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa…

Majaliwa atembelea mradi wa ujenzi kituo cha biashara cha Afrika Mashariki Ubungo jijini Dar

Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Mradi wa kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa  na kampuni ya East  Africa Commercial  and Logistics Centre  eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Aprili 20, 2023. (Picha…

BoT yatoa elimu kutambua noti halali

Benki kuu ya Tanzania (BoT), imetoa mafunzo ya kutambua noti halali kwa watu wa makundi maalumu wakiwemo wasioona,wenye ulemavu wa macho na viungo. Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Arusha, Meneja Msaidizi Sarafu,Joyce Saidimu,alisema kuwa lengo la kutoa…

TCRA: Sekta ya usafirishaji wa vifurushi, vipeto zina mchango mkubwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imetoa elimu ya urasimishaji wa huduma za usafirishaji mizigo,vipeto na nyaraka kwa wadau wa usafirishaji Kanda ya Kaskazini ikiwa ni kuelekea katika kampeni ya uhamasishaji wa usajili na upataji wa leseni ya usafirishaji. Akizungumza katika warsha…

Ataka maafisa kuwafuata wananchi mitaani kutoa huduma

Na Hassan Mabuye ,JamhuriMedia ,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angeline Mabula amewataka maafisa wa sekta ya ardhi nchini kuwafuata na kuwahudumia wananchi katika mitaa yao ili kutoa huduma za ardhi kwa ufanisi. Waziri Mabula…

Wafungwa kunufaika na mpango wa bima ya afya kwa wote

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema inakamilisha Muswada wa bima ya Afya kwa wote ambapo ukikamilika utakuwa suluhisho ya upatikanaji wa huduma za afya kwa makundi yote ya kijamii. Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel amesema hayo bungeni wakati…