JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Spika Tulia aongoza kikao cha maspika nchini Cameroon

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde…

Serikali kujenga masoko matano ya mazao halmashauri Songea

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) enista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa masoko ya mazao yanayotarajiwa kujengwa na Halmashauri ya wilaya ya Songea. Juhudi hizo za…

Dkt. Mpango kuanza ziara ya kikazi siku tano Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philipo Isdory Mpango anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kuanzia Julai 20,2023 hadi Julai 24,2023. Akizungumza…

Biteko:Wazalishaji chumvi waongeze uzalishaji kukidhi soko la ndani, nje’

WAZIRI wa Madini ,Dkt Dotto Biteko ametoa rai kwa wazalishaji wa chumvi nchini kuongeza uzalishaji kutoka tani 273,000 hadi tani 303,000 kwa mwaka ili kukidhi soko la ndani na nje. Rai hiyo aliitoa Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani alipofanya ziara ya…

Miamala ya fedha yaongezeka asilimia 24 mwaka mmoja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari, amesema kati ya Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu imesajili laini za simu milioni 7.3. Amesema hayo alipozungumza na vyombo vya habari Dodoma…