Author: Jamhuri
‘Sekta ya madini sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji’
Na Mwandishi Wetu Sekta ya Madini imekuwa ni sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji kutokana na Miongozo, Maelekezo na Maagizo mbalimbali yanayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa…
MSD yashauriwa kuweka mikakati endelevu ya upatikanaji bidhaa za afya
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani (RAS), Salvera Salvatory ameishauri Bohari ya Dawa (MSD) kuwa na mikakati endelevu ya kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya ili kuondoa malalamiko ambayo kwa kiasi kikubwa yameanza kupungua. Salvatory ameyasema hayo wakati akifungua mkutano…
Msataafu Kikwete awapa kongole Muhimbili
Na mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila kwa huduma nzuri wanazotoa kwa jamii na kuwataka…
Majaliwa:Kiswahili fursa ya kiuchumi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuzungumza na kusoma lugha ya Kiswahili kwa kuwa lugha hiyo ni fursa ya kiuchumi Duniani. “Kuwa mzawa wa lugha ya kiswahili pekee, unakuwa hujapata fursa ya kunufaika nacho, muhimu ni kuendelea kujifunza…