Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Dua Maalum iliyoandaliwa na Wanawake wa Kisiwani Pemba kwa ajili ya kumuombea iliyofanyika katika Uwanja wa Tibirizi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba tarehe 25 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati wa Dua Maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wanawake hao iliyofanyika katika Uwanja wa Tibirizi Chakechake tarehe 25 Machi, 2024.