JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wakuu wa mikoa wapigwa msasa biashara ya hewa ukaa

Na OR-TAMISEMI WAKUU wa mikoa yote Tanzania Bara wamepewa elimu juu ya biashara ya hewa ukaa nchini ambayo itasaidia kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa. Hayo yameelezwa, jijini Dodoma katika kikao cha pamoja…

Makamu wa Rais azindua maandalizi ya dira 2050

……………………………………………………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekta Binafsi, Watanzania wanaoishi Ughaibuni…

‘Sekta ya afya imepiga hatua kwenye huduma ya mionzi ‘

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt.Charles Wilson Mahera amesema kufikia mwaka 2023 jumla ya X-ray za kisasa za kidigitali 213 zimesimikwa, Utra sound 67 zimesambazwa na kusimikwa…

Waliokufa na vimbunga Marekani wafikia 26

Takriban watu 26 wamekufa baada ya mfululizo wa vimbunga kuteketeza miji na majiji ya Kusini na Kati mwa Marekani. Nyumba ziliharibiwa na maelfu kuachwa bila umeme baada ya dhoruba kubwa kusababisha uharibifu katika majimbo kadhaa. Kumekuwa na zaidi ya vimbunga…

Rais afanya mabadiliko kwa mabalozi, Polepole apelekwa Cuba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja kama ifuatavyo: Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa…