Author: Jamhuri
Serikali yazindua rasmi ‘Chato Samia Cup 2023’
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI imezindua rasmi mashindano ya mpira wa miguu “Chato Samia Cup 2023” kwa lengo kutambua jitihada kubwa za rais Samia Suluhu Hassan,katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye wilaya ya Chato mkoani Geita. Aidha Chama…
Kikongwe auawa kwa kukatwa mapanga
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika hali isiyo kawaida kikongwe mmoja mwenye umri wa miaka zaidi ya 90, Hilda Ngasa mkazi wa Mtaa wa Kinyambwa Kata ya Kikuyu Mkoani Dodoma ameuawa kwa kukatwa mapanga na mwanaume mmoja aitwaye Yohana Luhanga ambaye anadhaniwa…
Bashe atoa rai kwa nchi za SADC kushirikiana uzalishaji wa chakula
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana katika uzalishaji wa chakula kwa mpango utakaonufaisha nchi zote wanachama. Bashe ameyasema hayo leo alipowasilisha mada kuhusu kilimo cha kisasa kama njia…
LATRA yasitisha ratiba ya mabasi 38 ya New Force
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesitisha ratiba ya mabasi 38 ya kampuni ya New Force yanayofanya safari zake kuanzia alfajiri. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA Habibu Suluo amesema sababu kubwa ya kusitisha ratiba hiyo ni kutokana na wimbi la…